Maendeleo ya Tanzania yanaletwa na watanzania wenyewe ni upuuzi kukaa na kubweteka ukisubiri mtu kutoka nje akusaidie kuleta maendeleo. Huu ni utumwa wa fikra na umasikini wa utambuzi na kama hatutabadirika kamwe tutaendelea kuwa masikini wa kutupwa na mabingwa wa kulaumu Yote yanawezekana iwapo sisi vijana tutabadiri mtizamo wa sasa na kujito kikamilifu kuijenga nchi yetu. Karibu katika forum hii ujumuike na vijana wa kitanzania dunia nzima katika kutoa mawazo jinsi ya kuiendeleza nchi yako